• HABARI MPYA

  Monday, September 24, 2018

  BARCELONA PUNGUFU YALAZIMISHWA SARE NA GIRONA, 2-2 CAMP NOU

  Gerard Pique akikimbia na Lionel Messi kurudisha mpira katikati baada ya kuifungia bao la kusawazisha Barcelona dakika ya 63 katika sare ya 2-2 na Girona Uwanja wa Camp Nou usiku wa jana. Hiyo ni baada ya Cristhian Stuani kuifungia mabao mawili Girona ndani ya dakika sita, dakika ya 45 na 51 kufuatia Messi kuanza kuifungia Barca dakika ya 19 katika mchezo wa La Liga. Barcelona ilimaliza pungufu baada ya refa, Gil Manzano kumtoa kwa kadi nyekundu Clement Lenglet dakika ya 35 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA PUNGUFU YALAZIMISHWA SARE NA GIRONA, 2-2 CAMP NOU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top