• HABARI MPYA

  Saturday, February 29, 2020
  ISMAILA SARR APIGA MBILI LIVERPOOL YACHAPWA 3-0 VICARAGE

  ISMAILA SARR APIGA MBILI LIVERPOOL YACHAPWA 3-0 VICARAGE

  Mshambuliaji wa umri wa miaka 22 Msenegal, Ismaila Sarr (katikati) amefunga mabao mawili dakika za 54 na 60 katika ushindi wa 3-0 wa Watf...
  ALONSO AIPIGIA ZOTE MBILI CHELSEA YATOKA 2-2 NA BOURNEMOUTH

  ALONSO AIPIGIA ZOTE MBILI CHELSEA YATOKA 2-2 NA BOURNEMOUTH

  Marcos Alonso akishangilia baada ya kuifungia Chelsea mabao yote mawili dakika za 33 na 85 katika sare ya 2-2 na wenyeji, AFC Bournemouth...
  Friday, February 28, 2020
  SHIME ANAAMINI TANZANIA ITAICHAPA UGANDA KESHO KUFUZU KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U-17

  SHIME ANAAMINI TANZANIA ITAICHAPA UGANDA KESHO KUFUZU KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U-17

  Na Stella Theopist, DAR ES SALAAM  KOCHA Mkuu wa timu ya wanawake u-17  ya Tanzania, Bakari Shime amesema kuwa kikosi kimejipanga kufanya ...
  ARSENAL YATUPWA NJE EUROPA LEAGUE BAADA YA KUPIGWA 2-1 EMIRATES

  ARSENAL YATUPWA NJE EUROPA LEAGUE BAADA YA KUPIGWA 2-1 EMIRATES

  Youssef El-Arabi akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Olympiacos dakika ya 119 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Arsenal kwe...
  Wednesday, February 26, 2020
  SERGE GNABRY APIGA MBILI BAYERN MUNICH YAICHAPA CHELSEA 3-0

  SERGE GNABRY APIGA MBILI BAYERN MUNICH YAICHAPA CHELSEA 3-0

  Serge Gnabry akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich mabao mawili dakika za 51 na 54 kabla ya  Robert Lewandowski  kufunga la tatu ...
  GRIEZMANN AISAWAZISHIA BARCELONA YATOA SARE YA 1-1 NA NAPOLI ITALIA

  GRIEZMANN AISAWAZISHIA BARCELONA YATOA SARE YA 1-1 NA NAPOLI ITALIA

  Antoine Griezmann (kulia) akijiandaa kushangilia baada ya kuifungia bao la kusawazisha Barcelona dakika ya 57 ikitoa sare ya 1-1 na wenye...
  Monday, February 24, 2020
  Sunday, February 23, 2020
  LEVANTE YAICHAPA REAL MADRID 1-0 NA KUIONDOA KILELENI LA LIGA

  LEVANTE YAICHAPA REAL MADRID 1-0 NA KUIONDOA KILELENI LA LIGA

  Wachezaji wa Levante wakishangilia baada ya Jose Luis Morales kufunga bao pekee dakika ya 79 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Real Madrid k...
  Saturday, February 22, 2020
  JESUS APIGA BAO PEKEE MAN CTY YAICHAPA LEICESTR 1-0 KING POWER

  JESUS APIGA BAO PEKEE MAN CTY YAICHAPA LEICESTR 1-0 KING POWER

  Gabriel Jesus (kushoto) akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao pekee dakika ya 80 ikiilaza Leicester City 1-0 kwenye mchezo ...
  SAMATTA ACHEZA HADI MWISHO ASTON VILLA YAFUNGWA MECHI YA TATU MFULULIZO ENGLAND

  SAMATTA ACHEZA HADI MWISHO ASTON VILLA YAFUNGWA MECHI YA TATU MFULULIZO ENGLAND

  Na Mwandishi Wetu, HAMPSHIRE MSHAMBULAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amecheza dakika zote 90, timu yake, Aston Villa iki...
  LIONEL MESSI APIGA NNE BARCELONA YAICHAPA EIBAR 5-0 LA LIGA

  LIONEL MESSI APIGA NNE BARCELONA YAICHAPA EIBAR 5-0 LA LIGA

  Lionel Messi akishangila kibabe baada ya kufunga mabao manne dakika za 14, 37, 40 na 87 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Eibar kwenye mchez...
  GIROUD NA ALONSO WAFUNGA CHELSEA YAICHAPA TOTTENHAM 2-1

  GIROUD NA ALONSO WAFUNGA CHELSEA YAICHAPA TOTTENHAM 2-1

  Beki Marcos Alonso akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya 48 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Tottenham Hot...
  STAND UNITED WAPIGWA FAINI SH 500,000 BAADA YA MASHABIKI WAKE KUWASHAMBULIA KWA GWAMBINA FC

  STAND UNITED WAPIGWA FAINI SH 500,000 BAADA YA MASHABIKI WAKE KUWASHAMBULIA KWA GWAMBINA FC

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Stand United FC imetozwa faini ya Sh 500,000 kwa kosa la mashabiki wake kufanya vurugu kubwa kwa...
  KOCHA ATOZWA FAINI SH 200,000 NA KUFUNGIWA MWEZI KWA KUMTUKANA REFA DARAJA LA PILI

  KOCHA ATOZWA FAINI SH 200,000 NA KUFUNGIWA MWEZI KWA KUMTUKANA REFA DARAJA LA PILI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA wa makipa wa timu ya Eagle FC, Greyson Mwanjombewa ametozwa faini ya Tsh 200,000 na kufungiwa kwa k...

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top