Sergio Aguero akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao la pili Manchester City dakika ya 65 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Bao la kwanza limefungwa na Raheem Sterling dakika ya 29 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Loading...
0 comments:
Post a Comment