• HABARI MPYA

    Sunday, September 30, 2018

    BALE ALIUMIA JANA REAL MADRID IKILAZIMISHWA SARE NA ATLETICO

    Gareth Bale jana aliichezea kwa dakika tu 45 Real Madrid dhidi ya mahasimu wao wa Jiji, Atletico Madrid kabla ya kutolewa kufuatia kuumia na nafasi yake ikichukuliwa na
    Dani Ceballos timu hizo zikitoka sare ya 0-0 Uwanja wa Santiago Bernabeu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BALE ALIUMIA JANA REAL MADRID IKILAZIMISHWA SARE NA ATLETICO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top