• HABARI MPYA

  Sunday, September 02, 2018

  LACAZETTE AWAPA RAHA ARSENAL, WAIBAMIZA CARDIFF CITY 3-2

  Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Arsenal dakika ya 81 ikiilaza Cardiff City 3-2 Uwanja wa Cardiff katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Shkodran Mustafi dakika ya 11 na Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 62, wakati ya Cardiff City yamefungwa na Victor Camarasa dakika ya 45 na ushei na Danny Ward dakika ya 70 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LACAZETTE AWAPA RAHA ARSENAL, WAIBAMIZA CARDIFF CITY 3-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top