• HABARI MPYA

  Saturday, September 01, 2018

  CHELSEA YAFANIKISHA DAKIKA ZA MWISHO YAICHAPA BOURNEMOUTH 2-0

  Pedro akishangilia kishujaa baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 72 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya 'wagumu' AFC Bournemouth Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Bao la pili limefungwa na Eden Hazard dakika ya 85  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAFANIKISHA DAKIKA ZA MWISHO YAICHAPA BOURNEMOUTH 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top