WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam. Bao pekee la Azam FC limefungwa na mshambuliaji Nassor Saadun Hamoud dakika ya tisa baada ya kuwachambua beki Lameck Lawi na kipa wake, Mkongo Leyi Matampi. Kwa ushindi huo, Azam FC inafikisha pointi nane katika mchezo wa nne, wakati Coastal Union inabaki na pointi yake moja baada ya kucheza mechi nne pia.
Gallery: Getting ready for Chelsea
-
Ahead of Saturday’s game against Chelsea in the Barclays Women’s Super
League, we’ve been hard at work in training
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment