FARID MUSSA KUWA NJE MIEZI MITATU BAADA YA KUFANYIWA UPASUAJI
KIUNGO Farid Malik Mussa Shah anatarajiwa kuwa nje ya Uwanja wa kwa miezi miwili hadi mitatu baada ya mapema leo kufanyiwa upasuaji wa misuli iliyochanika nyuma ya goti. Pichani ni Makamu wa Rais wa klabu hiyo, Arafat Haji aliyemtembela leo kumfariji mchezaji huyo.
0 comments:
Post a Comment