SIMBA SC YAONDOKA ALFAJIRI KUIFUATA AL AHLY TRİPOLİ
KIKOSI cha Simba SC kinatarajiwa kuondoka Alfajri ya kesho kwenda Tripoli nchini Libya kwa ajili ya mchezo wa kwanza Hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho Afrika Ijumaa Uwanja wa Juni 11 Jijini humo . Timu hizo zitarudiana Septemba 20 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam na mshindi wa jumla atafuzu Hatua ya 16 Bora ambayo huchezwa kwa mtindo wa makundi. Wachezaji waliopo kwenye timu za taifa kwa ajili ya mechi za kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 wataungana na wenzao Jijini Tripoli. GONGA KUTAZAMA WACHEZAJI WANAOSAFIRI KWENDA LIBYA
Coach Paul Put’s reaction on the CHAN 2024 Draw
-
Uganda Cranes Head Coach Paul Joseph Put expects no pushovers at the CAF
TotalEnergies African Nations Championship (CHAN) KE.TZ.UG 2024. The gaffer
was ...
Revealed: Why CHAN 2024 was postponed
-
The 2024 African Nations Championship (CHAN) has been postponed, announced
the Confederation of African Football (CAF). It will now kick off in August
20...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment