SIMBA SC YAICHAPA AZAM 2-0 MABAO YA ATEBA NA NGOMA
TIMU ya Simba SC imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya kuichapa Azam FC mabao 2-0 usiku huu Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Mabao ya Simba SC yamefungwa na mshambuliaji Mcameroon, Christian Leonel Ateba Mbida dakika ya 15 akimalizia pasi ya kiungo Muivory Coast, Jean Charles Ahoua na kiungo Mkongo, Fabrice Luamba Ngoma dakika ya 47. Kwa ushindi huo, Simba SC wanafikisha pointi tisa katika mchezo wa tatu, wakati Azam FC inabaki na pointi zake nane baada ya kucheza mechi tano.
FAMACO I Programme spreads to FUFA’s 8 Regions
-
FUFA in association with the Regional Football Associations has confirmed a
full progamme to spread the capacity building courses for Football
Administra...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment