TIMU ya Simba SC ya bila mabao na wenyeji, Al Ahly Tirpoli usiku huu katika mchezo wa kwanza Hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho Afrika Ijumaa Uwanja wa Juni 11 Jijini Tripoli nchini Libya. Timu hizo zitarudiana Jumapili ya Septemba 22 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam na mshindi wa jumla atakwenda hatua ya 16 Bora inayochezwa kwa mtindo wa makundi.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment