WENYEJI, Kagera Sugar wamefikisha mechi nne bila ushindi katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya leo kuokota pointi ya kwanza kufuatia sare ya bila mabao na JKT Tanzania Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.
Mechi tafu za mwanzo Kagera Sugar ilifungwa 1-0 na Singida Black Stars, 2-0 na Yanga na 1-0 na Tabora United, wakati JKT Tanzania nayo imetoa sare ya pili mfululizo leo katika mechi zake mbili hadi sasa kufuatia sare ya 0-0 na Azam katika mchezo wa kwanza.
'It's a golden generation of Welsh pundits, not Welsh players'
-
Chris Ashton and Chris Jones explain why Wales are in turmoil - before
Warren Gatland's exit as head coach was announced.
50 minutes ago
0 comments:
Post a Comment