KLABU ya Azam FC imetambulisha benchi jipya la Ufundi chini ya Kocha Mkuu Mmoroco, Rachid Taoussi (65) mwenye uzoefu wa kufundisha kuanzia mwaka 1992. Taoussi anajiunga na Azam FC kwa Mkataba wa mwaka mmoja kwa pamoja na wasaidizi wake watatu, Kocha Msaidizi, Ouajou Driss, Kocha wa utimamu wa mwili, Badr Eddine na Kocha wa makipa, Rachid El Mekkaoui wote Wamorocco.
-
YOUNG Africans have reignited their hopes of reaching the quarterfinals of
the CAF Champions League following a vital 1-0 victory over Al Hilal at
the C...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment