KAGERA SUGAR YAPATA MNYONGE, YAICHAPA KEN GOLD 2-0 KAITABA
WENYEJI, Kagera Sugar wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Mabao ya Kagera Sugar yamefungwa na mshambuliaji Mganda, Peter Lwasa dakika ya kwanza na 65 na ushindi huo wa kwanza unaifanya timu hiyo ifikishe pointi nne katika mchezo wa tano kufuatia kufungwa mechi tatu awali na kutoa sare moja. Kwa upande wao Ken Gold waliopanda Ligi Kuu msimu huu wanafikisha mechi nne bila ushindi, tena wakifungwa zote 3-1 na Singida Black Stars, 2-1 na Fountain Gate na 1-0 na KMC.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment