MABAO ya viungo Muivory Coast, Jean Charles Ahoua kwa penalti na mzawa, Salehe Karabaka Kikuya leo yaliipa Simba SC ushindi wa 2-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni (KMC), Mwenge Jijini Dar es Salaam. GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment