TIMU ya Hispania imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Dunia baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ureno usiku huu Uwanja wa AT&T Jijini Arlington, Tarrant County, Texas, Marekani.
Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, kiungo Mikel Merino Zazón wa mabingwa wa England, Arsenal aliyefunga dakika ya 90’+1 na sasa Hispania watakutana na mshindi kati ya Marekani na Ubelgiji zitakazomenyana Alfajiri.



.png)
0 comments:
Post a Comment