• HABARI MPYA

  Sunday, September 02, 2018

  SURA ZA KAZI TAIFA STARS, SANIFU LAZARO, MWAKALEBELA, CHINA, MASHA NA MASATU MZAIRE KAFA 1-0 1991 TAIFA

  Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania kutoka kulia, Sanifu Lazaro, David Mwakalebela, Athumani China, George Masatu na Hussein Masha baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Zaire (sasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo), bao la Innocent Haule dakika ya 63 Aprili 27, mwaka 1991 kwenye mchezo wa Kundi la Nane kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa Afrika Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru) mjini Dar es Salaam 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SURA ZA KAZI TAIFA STARS, SANIFU LAZARO, MWAKALEBELA, CHINA, MASHA NA MASATU MZAIRE KAFA 1-0 1991 TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top