• HABARI MPYA

  Sunday, September 02, 2018

  LUKAKU AFUNGA YOTE MAN UNITED YASHINDA 2-0 TURF MOOR

  Mshambuliaji Romelu Lukaku akiwa juu kuifungia kwa kichwa Manchester United bao la kwanza dakika ya27 baada ya krosi ya Alexis Sanchez kabla ya kumtungua tena kipa wa Burnley, Joe Hart dakika ya 44 katika ushindi wa 2-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Turf Moor. Katika mchezo huo, Paul Pogba alikosa penalti dakika ya 69 na Marcus Rashford akatolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 71 kufuatia kuingia kuchukua nafasi ya Sanchez dakika ya 61 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUKAKU AFUNGA YOTE MAN UNITED YASHINDA 2-0 TURF MOOR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top