BAO la winga wa Spartak Moscow, Théo Bongonda Mbul'Ofeko Batombo dakika ya 16 limeipa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ushindi wa 1–0 dhidi ya Benin katika mchezo wa Kundi D Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 leo Uwanja wa Al Medina Jijini Rabat nchini Morocco.
0 comments:
Post a Comment