MABAO ya kiungo Muingereza, Cole Palmer dakika ya 21 na beki Mfaransa, Malo Gusto dakika ya 45 jana yaliipa Chelsea ushindi wa 2-0 dhidi ya Everton FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.
Kwa ushindi huo, Chelsea inafikisha pointi 28 na kusogea nafasi ya nne, wakai Everton inabaki na pointi zake 24 nafasi ya nane baada ya timu zote kucheza mechi 16.



.png)
0 comments:
Post a Comment