• HABARI MPYA

    Friday, April 11, 2025

    MUKWALA MCHEZAJI BORA, FADLU KOCHA BORA LIGI KUU MACHI


    MSHAMBULIAJI Mganda wa Simba, Steven Dese Mukwala ameshinda Tuzo y Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa mwezi Machi — huku kocha wake, Fadluraghman Davids akishinda Tuzo ya Kocha Bora.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MUKWALA MCHEZAJI BORA, FADLU KOCHA BORA LIGI KUU MACHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top