// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
NI AHMED ARAJIGA PILATO WA PAMBANO LA WATANI JUMAMOSI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINENI AHMED ARAJIGA PILATO WA PAMBANO LA WATANI JUMAMOSI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
NI AHMED ARAJIGA PILATO WA PAMBANO LA WATANI JUMAMOSI
REFA Ahmed Arajiga ndiye atakayepuliza kipyenga kwenye mechi ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baina ya watani wa jadi, Yanga na Simba Jumamosi wiki hii Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Arajiga, Refa Bora wa nchi katika mchezo atasaidiwa na Mohamed Mkono wa Tanga na Kassim Mpanga wa Dar es Salaam watakaokuwa wakikimbia na vibendera pembezoni mwa Uwanja, wakati mezani atakuwepo Amina Kyando wa Morogoro.
Senegal face Togo in crucial World Cup Qualifier
-
Senegal will face Togo in a crucial 2026 FIFA World Cup qualifying clash
at Stade Me Abdoulaye Wade, determined to avoid further setbacks in their
campa...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment