// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
DODOMA JIJI NA COASTAL UNION HAKUNA MBABE, ZATOKA SULUHU JAMHURI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEDODOMA JIJI NA COASTAL UNION HAKUNA MBABE, ZATOKA SULUHU JAMHURI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
DODOMA JIJI NA COASTAL UNION HAKUNA MBABE, ZATOKA SULUHU JAMHURI
TIMU za Dodoma Jiji na Coastal Union ya Tanga zimegawana pointi baada ya sare ya bila kufungana katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Kwa matokeo hayo, Dodoma Jiji inafikisha pointi 27 katika mchezo wa 22, ikiendelea kukamata nafasi ya nane kwa kuizidi pointi mbili Coastal Union ambayo pia imecheza mechi moja zaidi.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment