// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
YANGA SC YAANZA NA USHINDI WA 2-0 UGENINI LİGİ KUU DHIDI YA KAGERA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEYANGA SC YAANZA NA USHINDI WA 2-0 UGENINI LİGİ KUU DHIDI YA KAGERA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
YANGA SC YAANZA NA USHINDI WA 2-0 UGENINI LİGİ KUU DHIDI YA KAGERA
MABINGWA watetezi, Yanga SC wameanza na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba mkoani Kagera. Mabao ya Yanga leo yamefungwa na kiungo Mkongo, Maxi Mpia Nzengeli dakika ya 26 na mshambuliaji mzawa, Clement Francis Mzize dakika ya 88 akimalizia pası ya kiungo Mburkinabe, Stephane Aziz Ki. Ulikuwa mchezo wa kwanza kwa Yanga, lakini Kagera Sugar leo inapoteza mechi ya pili mfululizo nyumbani baada ya kuchapwa 1-0 na Singida Black Stars mwishoni mwa wiki.
Coach Paul Put’s reaction on the CHAN 2024 Draw
-
Uganda Cranes Head Coach Paul Joseph Put expects no pushovers at the CAF
TotalEnergies African Nations Championship (CHAN) KE.TZ.UG 2024. The gaffer
was ...
Revealed: Why CHAN 2024 was postponed
-
The 2024 African Nations Championship (CHAN) has been postponed, announced
the Confederation of African Football (CAF). It will now kick off in August
20...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment