// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
AZAM FC YAICHAPA APR 1-0 BAO LA BLANCO KWA PENALTI CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEAZAM FC YAICHAPA APR 1-0 BAO LA BLANCO KWA PENALTI CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
AZAM FC YAICHAPA APR 1-0 BAO LA BLANCO KWA PENALTI CHAMAZI
WENYEJI, Azam FC imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya APR ya Rwanda katika mchezo wa kwanza Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika usiku wa leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam. Bao pekee la Azam FC limefungwa na mshambuliaji Mcolombia, Jhonier Alfonso Blanco Yus dakika ya 56 kwa penalti kufuatia kiungo mzawa, Feisal Salum Abdallah kuchezewa rafu kwenye eneo la hatari. Timu hizo zitarudiana Agosti 24 Uwanja wa Amahoro Jijini Kigali – na mshindi wa michezo hyo ya Raundi ya Awali atakutana na mshindi kati ya JKU na Pyramids ya Mısri kuwania kuingia hatua ya makundi, 16 Bora.
-
YOUNG Africans have reignited their hopes of reaching the quarterfinals of
the CAF Champions League following a vital 1-0 victory over Al Hilal at
the C...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment