// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
MASHUJAA YAAMBULIA SULUHU KWA TZ PRISONS LAKE TANGANYIKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEMASHUJAA YAAMBULIA SULUHU KWA TZ PRISONS LAKE TANGANYIKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
MASHUJAA YAAMBULIA SULUHU KWA TZ PRISONS LAKE TANGANYIKA
WENYEJI, Mashujaa FC wamelazimishwa sare ya bila mabao na jirani zao, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma. Kwa matokeo hayo, Mashujaa inafikisha pointi nne baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji kweye mchezo wa kwanza, wakati Tanzania Prisons wanaokota pointi ya pili wakitoka kutoa sare nyingine ya bila mabao na Pamba Jiji Mwanza.
Atalanta needs Lookman’s magic – Gasperine
-
•Club coach ponders Injured Nigerian return Atalanta coach Gian Pero
Gasperini is banking on Super Eagles forward Ademola Lookman to lead their
comeback ...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment