Mwanzo > LIGI YA WANAWAKE > SOMOE NG’ITU ACHUKUA FOMU KUWANIA UENYEKITI TWFA HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI YA WANAWAKE SOMOE NG’ITU ACHUKUA FOMU KUWANIA UENYEKITI TWFA KATIBU Mkuu wa Chama cha Soka ya Wanawake Tanzania (TWFA), Somoe Ng’itu leo amechukua fomu za kuwania Uenyekiti wa Chama hicho katika uchaguzi utakaofanyika Septemba 14, mwaka huu mkoani Kilimanjaro. Wednesday, August 07, 2024 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI YA WANAWAKE
0 comments:
Post a Comment