GUEDE AFUNGA SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA AIGLE NOIR 1-0 LITI
BAO pekee la mshambuliaji Muivory Coast, Joseph Guédé Gnadou dakika ya 47 limeipa Singida Black Stars ushindi wa 1-0 dhidi ya Aigle Noir ya Burundi leo katika mchezo wa kirafiki kuhitimisha tamasha la Singida Big Day Uwanja wa CCM Liti mjini Singida.
0 comments:
Post a Comment