// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
SINGIDA YAIKARIBISHA LİGİ KUU KEN GOLD, YAITANDIKA 3-1 PALE PALE SOKOINE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINESINGIDA YAIKARIBISHA LİGİ KUU KEN GOLD, YAITANDIKA 3-1 PALE PALE SOKOINE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
SINGIDA YAIKARIBISHA LİGİ KUU KEN GOLD, YAITANDIKA 3-1 PALE PALE SOKOINE
TIMU ya Singida Black Stars imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya wenyeji, Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya. Mabao ya Singida Black Stars yamefungwa na Emmanuel Kayekeh dakika ya 41, Elvis Rupia dakika ya 62 na Mohamed Damaro dakika ya 81, wakati bao pekee la Ken Gold limefungwa na Joshua Ibrahim dakika ya 68.
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment