SIMBA SC WASHINDI WA TATU NGAO YA JAMII, COASTAL YAFA 1-0
BAO la Saleh Karabaka Kikuya dakika ya 11 limeipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa kuwania nafasi ya tatu kwenye michuano ya Ngao ya Jamii leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment