KIBU DENNIS 'MKANDAJI' AREJEA SIMBA SC, ONANA ATIMKIA QATAR
KIUNGO mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Kibu Dennis Prosper juzi alirejea nchini kutoka Norway alipokwenda kufanya majaribio ya kujiunga na klabu ya Strømsgodset IF II na kuungana na wenzake mazoezini tayari kwa msimu mpya. Aidha, Simba SC imeachana na kiungo mshambuliaji Mcameroon, Leandre Willy Essomba Onana ambaye imeripotiwa anakwenda Qatar.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment