UFARANSA imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Dunia baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Paraguay Lincoln Financial Field Jijini Philadelphia, Pennsylvania nchini Marekani.
Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, mshambuliaji wa Real Madrid ya Hispania, Kylian Mbappé Lottin kwenye asili ya Cameroon aliyefunga kwa mkwaju wa penalti dakika ya 70.
Sasa Ufaransa watakutana na Morocco katika Robo Fainali Julai 9 Uwanja wa Gillette Jijini Foxborough, Massachusetts, Marekani.


.png)
0 comments:
Post a Comment