• HABARI MPYA

  Monday, September 03, 2018

  YAYA TOURE APATA MAPOKEZI MAKUBWA OLYMPIACOS

  Yaya Toure akifurahia wakati wa utambulisho wake katika klabu yake mpya, Olympiacos nchini Ugiriki jana kufuatia kusaini kama mchezaji huru baada ya kuachwa Manchester City. Picha nyingine kulia ni mashabiki waliojitokeza katika utambulisho wake 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YAYA TOURE APATA MAPOKEZI MAKUBWA OLYMPIACOS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top