• HABARI MPYA

  Thursday, September 20, 2018

  POGBA AFUNGA MAWILI MAN UNITED YASHINDA 3-0 ULAYA

  Kiungo Mfaransa, Paul Pogba akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Manchester United dakika za 35 na 44 kwa penalti katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji Young Boys usiku wa Jumatano Uwanja wa Suisse Wankdorf Bern mjini Bern, Uswisi katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa. Bao lingine alifunga Anthony Martial dakika ya 66 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: POGBA AFUNGA MAWILI MAN UNITED YASHINDA 3-0 ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top