• HABARI MPYA

  Thursday, September 20, 2018

  YANGA SC ILIVYOIADHIBU COASTAL UNION JANA UWANJA WA TAIFA

  Mshambuliaji wa Yanga, Heritier Makambo (kushoto) akijaribu kumpita beki wa Coastal Union, Ibrahim Ame katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 1-0
  Kiungo wa Yanga, Feisal Salum akiondoka na mpira dhidi ya mchezaji wa Coastal Union 
  Kiungo wa Yanga, Deus Kaseke akipasua katikati ya wachezaji wa Coastal Union 
  Kiungo wa Yanga, Ibrahim Ajib akimtoka mchezaji wa Coastal Union 
  Mshambuliaji wa Yanga SC, Matheo Anthony akimtoka beki wa Coastal Union   
  Kiungo wa Coastal Union, Athumani Iddi 'Chuji' akiwania mpira dhidi ya kiungo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi 
  Beki wa Yanga, Gardiel Michael akitia krosi jana 
  Mkongwe Mrisho Ngassa akitafuta maarifa ya kupita  
  Kikosi cha Yanga kabla ya mechi jana Uwanja wa Taifa na chini ni kikosi cha Coastal Union

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC ILIVYOIADHIBU COASTAL UNION JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top