• HABARI MPYA

  Saturday, September 01, 2018

  LIVERPOOL YAENDELEA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU ENGLAND

  Mshambuliaji Sadio Mane akiruka juu kwa furaha kushangilia baada ya kuifungia bao la kwanza  Liverpool dakika ya 10 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Leicester City Uwanja wa King Power. Bao lingine la Liverpool limefungwa na Roberto Firmino dakika ya 45, wakati la Leicester limefungwa na Rachid Ghezzal dakika ya 63 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAENDELEA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top