• HABARI MPYA

    Saturday, January 31, 2026
    NAMUNGO FC YAICHAPA KMC 1-0 RUANGWA

    NAMUNGO FC YAICHAPA KMC 1-0 RUANGWA

    WENYEJI, Namungo FC wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Majal...
    YANGA SC YAAMBULIA SARE KWA AL AHLY, ZAFUNGANA 1-1 ZANZIBAR

    YANGA SC YAAMBULIA SARE KWA AL AHLY, ZAFUNGANA 1-1 ZANZIBAR

    TIMU ya Yanga SC imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Al Ahly ya Misri katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika jioni ya leo U...
    Friday, January 30, 2026
    DODOMA JIJI YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 PALE PALE ISAMUHYO

    DODOMA JIJI YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 PALE PALE ISAMUHYO

    TIMU ya Dodoma Jiji FC imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji, JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku wa...
    MBEYA CITY YABANWA NYUMBANI, SARE 1-1 NA PAMBA JIJI

    MBEYA CITY YABANWA NYUMBANI, SARE 1-1 NA PAMBA JIJI

    WENYEJI, Mbeya City wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Pamba Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa S...
    Thursday, January 29, 2026
    AZAM FC YAICHAPA. TRA UNITED 2-0 CHAMAZI

    AZAM FC YAICHAPA. TRA UNITED 2-0 CHAMAZI

    TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya TRA United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam...
    AL AHLY YAMSIMAMISHA EMAM ASHOUR WIKI MBILI NA KUMPIGA ‘FAINI NZITO’

    AL AHLY YAMSIMAMISHA EMAM ASHOUR WIKI MBILI NA KUMPIGA ‘FAINI NZITO’

    KLABU ya Al Ahly imemsimamisha winga wake hatari, Emam Ashour Metwally Abdelghany kwa wiki mbili na kumtoza Faini ya Pauni za Uingereza Mili...
    SIMBA SC YAICHAPA MASHUJAA FC 2-0 UWANJA WA MEJA ISAMUHYO

    SIMBA SC YAICHAPA MASHUJAA FC 2-0 UWANJA WA MEJA ISAMUHYO

    TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mashujaa FC ya Kigoma katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo...
    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA KMC USITUMIKE KWA MECHI ZA LIGI

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA KMC USITUMIKE KWA MECHI ZA LIGI

    SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeufungia Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, maarufu kama KMC Complex, uliopo Mwenge Jijini...
    CAF YAMFUNGIA NA KUMTOZA FAINI KOCHA WA SENEGAL

    CAF YAMFUNGIA NA KUMTOZA FAINI KOCHA WA SENEGAL

    BODI ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imeliadhibu Shirikisho la Soka la Senegal (FSF), Shirikisho la Soka la Marocco (FRMF) na ...
    Wednesday, January 28, 2026
    COASTAL UNION YABANWA MBAVU NA KMC MKWAKWANI

    COASTAL UNION YABANWA MBAVU NA KMC MKWAKWANI

    WENYEJI, Coastal Union wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na KMC FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku wa kuamkia le...
    Tuesday, January 27, 2026
    DEPU AFUNGA MAWILI YANGA YAICHAPA DODOMA JIJI FC 3-1 MWENGE

    DEPU AFUNGA MAWILI YANGA YAICHAPA DODOMA JIJI FC 3-1 MWENGE

    MABINGWA watetezi, Young Africans, maarufu tu kama Yanga SC wametoka nyuma na kushinda mabao 3-1 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Li...
    Monday, January 26, 2026
    Sunday, January 25, 2026
    MTIBWA SUGAR YAICHAPA PAMBA JIJI 1-0 DAKIKA ZA JIONI

    MTIBWA SUGAR YAICHAPA PAMBA JIJI 1-0 DAKIKA ZA JIONI

    TIMU ya Mtibwa Sugar imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Pamba Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja w...
    SINGIDA BLACK STARS YAWACHAPA WAKONGO 1-0 ZANZIBAR

    SINGIDA BLACK STARS YAWACHAPA WAKONGO 1-0 ZANZIBAR

    TIMU ya Singida Black Stars imeibuka na ushindi wa bao 1-0  AS Otohô ya Kongo-Brazzaville katika mchezo wa Kundi C Kombe la Shirikisho Afrik...
    TANZANIA PRISONS NA JKT TANZANIA ZATOKA SULUHU SOKOINE

    TANZANIA PRISONS NA JKT TANZANIA ZATOKA SULUHU SOKOINE

    WENYEJI, Tanzania Prisons wamelazimishwa sare ya bila mabao na JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwan...
    AZAM FC YANG'ARA UGENINI MICHUANO YA AFRIKA, YASHINDA 2-1 KENYA

    AZAM FC YANG'ARA UGENINI MICHUANO YA AFRIKA, YASHINDA 2-1 KENYA

    TIMU ya Azam FC imetoka nyuma na kushinda mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Nairobi United katika mchezo wa Kundi B Kombe la Shirikisho Afrika jio...
    Saturday, January 24, 2026
    SIMBA SC YACHAPWA KIMOJA NA ESPERANCE TUNISIA

    SIMBA SC YACHAPWA KIMOJA NA ESPERANCE TUNISIA

    TIMU ya Simba imeendelea kusuasua katika Hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa bao 1-0 na wenyeji, Espérance katika ...
    Friday, January 23, 2026
    NAMUNGO FC YAICHAPA COASTAL UNION 1-0 RUANGWA

    NAMUNGO FC YAICHAPA COASTAL UNION 1-0 RUANGWA

    TIMU ya Namungo FC imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa ...
    YANGA SC YATELEZA UGENINI, YACHAPWA 2-0 NA AHLY ALEXANDRIA

    YANGA SC YATELEZA UGENINI, YACHAPWA 2-0 NA AHLY ALEXANDRIA

    TIMU ya Yanga imeteleza ugenini baada ya kuchapwa mabao 2-0 na wenyeji, Al Ahly katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika usiku huu U...
    DUKE ABUYA MCHEZAJI BORA, PEDRO KOCHA BORA LIGI KUU DESEMBA

    DUKE ABUYA MCHEZAJI BORA, PEDRO KOCHA BORA LIGI KUU DESEMBA

    KIUNGO Mkenya, Duke Ooga Abuya amechaguliwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa mwezi Desemba, huku Mreno, Pedro Valdemar Soa...
    STEPHANE AZIZ KI AJIUNGA NA AL ITTIHAD YA LIBYA

    STEPHANE AZIZ KI AJIUNGA NA AL ITTIHAD YA LIBYA

    MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki amejiunga na Al Ittihad ya Libya baada ya kuitumikia Wydad AC kwa nusu msimu tu ...
    Thursday, January 22, 2026
    DODOMA JIJI YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 JAMHURI

    DODOMA JIJI YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 JAMHURI

    TIMU ya Dodoma Jiji FC imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwa...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top