COASTAL UNION YAICHAPA DODOMA JIJI 2-0 SHEIKH AMRI ABEID
TIMU ya Coastal Union ya Tanga imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Mabao ya Coastal Unio leo yamefungwa na mshambuliaji Maabad Maulid Maabad dakika ya pili na beki kutoka Kongo -Brazzaville, Hernest Briyock Malonga dakika ya 88. Kwa ushindi huo, Coastal Union inafikisha pointi nane katika mchezo wa nane na kusogea nafasi ya tisam, wakati Dodoma Jiji inabaki na pointi zake tisa za mechi nane pia nafasi ya nane.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment