MGUNDA AFUNGA MAWILI MASHUJAA YAITANDIKA KEN GOLD 3-0 KIGOMA
WENYEJI, Mashujaa FC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma. Imekuwa siku nzuri kwa mshambuliaji Ismail Mohamed Mgunda aliyefunga mabao mawili la kwanza dakika ya nane na la pili kwa penalty dakika ya 45 – huku la tatu likifungwa na Julius Laban Kamoga dakika ya 86. Kwa ushindi huo, Mashujaa FC inafikisha pointi 12 katika mchezo wa saba na kusogea nafasi ya sita, wakati inayobaki na pointi zake nne za mech inane sasa inaendelea kushika mkia.
FAMACO I Programme spreads to FUFA’s 8 Regions
-
FUFA in association with the Regional Football Associations has confirmed a
full progamme to spread the capacity building courses for Football
Administra...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment