// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
NAMUNGO FC YAICHAPA PAMBA JIJI 1-0 RUANGWA BAO LA MKOKO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINENAMUNGO FC YAICHAPA PAMBA JIJI 1-0 RUANGWA BAO LA MKOKO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
NAMUNGO FC YAICHAPA PAMBA JIJI 1-0 RUANGWA BAO LA MKOKO
WENYEJI, Namungo FC wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Pamba Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi. Bao pekee la Namungo FC leo limefungwa na beki Ibrahim Abdallah Ali ‘Mkoko’ dakika ya 14 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi tisa katika mchezo wa tisa na kusogea nafasi ya 11. Kwa upande wao Pamba Jiji waliorejea Ligi Kuu msimu huu baada ya miaka 22 wanabaki na pointi zao tano za mechi 10 sasa nafasi ya 15 kwenye ligi ya timu 16.
FAMACO I Programme spreads to FUFA’s 8 Regions
-
FUFA in association with the Regional Football Associations has confirmed a
full progamme to spread the capacity building courses for Football
Administra...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment