BAO la dakika za lala salama za Abdallah Semfuko limeipa Coastal Union ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania jioni ya leo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.
Coastal Union inayofundishwa na Juma Mwambusi ingeondoka na ushindi mtamu zaidi kama si nyota wake Maabad Maulid kukosa mkwaju wa penalti dakika ya 76.
Kwa ushindi huo, Coastal Union imefikisha pointi 11 katika mchezo wa 10 na kupanda hadi nafasi ya nene kutoka ya 13, wakati Kagera Sugar inabaki na pointi zake tano za mechi tisa nafasi ya 14.
I am ready to prove my innocence, EeZee Tee tells court
-
By Lukman Olabiyi Music producer Ezekiel Onyedikachi, popularly known as
EeZee Tee, on Monday affirmed his readiness to prove his innocence in the
fraudu...
38 minutes ago
0 comments:
Post a Comment