• HABARI MPYA

  Friday, September 21, 2018

  MBWANA SAMATTA ANAVYOWAPA SHIDA MABEKI ULAYA

  Beki wa Malmo FF ya Sweden, Lasse Nielsen akimdhibiti mshambuliaji wa KRC Genk, Mbwana Samatta katika mchezo wa Kundi L Europa League jana Uwanja wa Luminus Arena. Genk ilishinda 2-0.
  Beki wa Malmo FF ya Sweden, Lasse Nielsen akipata shida kumdhibiti Mbwana Samatta  
  Mbwana Samatta akimfukuzia beki wa Malmo FF, Rasmus Bengtsson jana 
  Hapa Mbwana Samatta anashangilia baada ya kuifungia bao la pili Genk 
  Hapa akipongezana na mfungaji wa bao la kwanza la Genk, Leandro Trossard (kushoto) 
  Hiki ni kikosi kilichoanza cha KRC Genk jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBWANA SAMATTA ANAVYOWAPA SHIDA MABEKI ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top