WENYEJI, Mashujaa FC wamelazimishwa sare ya bila mabao na Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Kwa matokeo hayo, Mashujaa FC wanafikisha pointi 13 katika mchezo wa tisa, ingawa inabaki nafasi ya tatu, wakati Coastal Union inafikisha pointi tisa katika mchezo wa saba na kusogea nafasi ya nane.



.png)
0 comments:
Post a Comment