• HABARI MPYA

  Friday, September 21, 2018

  AUBAMEYANG AFUNGA MABAO MAWILI ARSENAL YASHINDA 4-2 ULAYA

  Mshambuliaji Pierre-Emerick akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Arsenal dakika za 32 na 56 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Vorskla Poltava kwenye mchezo wa Kundi E Europa League Uwanja wa Emirates mjini London. Mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Danny Welbeck dakika ya 48 na Mesut Özil dakika ya 74, wakati ya Vorskla yamefungwa na Volodymyr Chesnakov dakika ya 76 na Vyacheslav Sharpar dakika ya 90 na ushei 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AUBAMEYANG AFUNGA MABAO MAWILI ARSENAL YASHINDA 4-2 ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top