• HABARI MPYA

  Wednesday, September 12, 2018

  LUKAKU AFUNGA MAWILI, HAZARD MOJA UBELGIJI YASHINDA 3-0

  Romelu Lukaku akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 31 na 81 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Iceland kwenye mchezo wa Kundi la Pili Ligi ya Mataifa ya UEFA usiku huu mjini Reykjavik baada ya Eden Hazard kuanza kufunga kwa penalti dakika ya 29 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUKAKU AFUNGA MAWILI, HAZARD MOJA UBELGIJI YASHINDA 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top