TIMU ya TRA United imetinga Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Namungo FC jioni ya leo Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
Mabao yote ya TRA United inayofundishwa na Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania, Mrundi Etienne Ndayiragijje yamefungwa na wachezaji wazawa, winga Denis Nkane na kiungo Ally Ng'azi.
MATOKEO NA RATIBA 16 BORA KOMBE LA CRDB
Azam FC Vs Fountain Gate
Namungo FC 0-2 TRA United
Simba SC 3-1 Dodoma Jiji
S. Black Stars 5-1 Mbeya City
Yanga SC 1-0 TMA Stars
Coastal Union 2-0 Pamba Jiji FC
JKT Tanzania 3-0 Mbuni FC
Geita Gold 0-0 Mashujaa FC (Penalti 2-4)



.png)
0 comments:
Post a Comment