• HABARI MPYA

    Wednesday, September 12, 2018

    HISPANIA YAICHAPA CROATIA 6-0 NA MODRIC WAO

    Marco Asensio (kushoto) akifurahia na beki Sergio Ramos baada ya wote kufunga katia ushindi wa 6-0 dhidi ya Croatia iliyoongozwa na Mwanasoka Bora wa Ulaya, Luca Modric kwenye mchezo wa Ligi ya Mataifa ya Ulaya Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Asensio alifunga dakika ya 33, Ramos dakika ya 57 na mabao mengine yamefungwa na Kalinic aliyejifunga dakika ya 35, Rodrigo dakika ya 49 na Isco dakika ya 70 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HISPANIA YAICHAPA CROATIA 6-0 NA MODRIC WAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top