• HABARI MPYA

  Tuesday, September 18, 2018

  KASSIM NASORO MGAYA: KIPATO CHANGU SASA 'SI HABA' SABABU YA BAJAJI YA SPORTPESA

  AKIWA mwenye furaha kubwa, Kassim Nasoro Mgaya anasimulia jinsi kipato chake kilivyoongezeka baada ya kushinda bajaj mpya aina ya TVS king kutoka SportPesa. 
  Hii ni katika promosheni maalumu ilifanywa na kampuni ya michezo ya kubahatisha ya SportPesa
  Ilikuwa rahisi sana kwa wateja wa SportPesa ambao walitakiwa tu kubashiri matokeo ya michezo kadhaa kupitia ujumbe mfupi wa maandishi au kwa njia ya mtandao na kujiweka ktk mazingira mazuri ya kushinda bajaj mpya.

  Kampeni hii ya kuboresha maisha kutoka Sportpesa ilifanyika kwa zaidi ya siku mia moja na kuwagusa wananchi wengi ambao vipato vyao vilibadilika kabisa baada ya kushinda bajaj hizo
  Kabla isingekuwa rahisi kuamini kile kilichosemwa na SportPesa juu ya kuinua maisha ya watu hadi pale unapokutana na watu kama Nasoro Mgaya, na kuona kwa macho juu ya mafanikio waliyoyapata kwa kipindi kifupi yakiwezeshwa na Sportpesa. 
  Furaha hii ya wengi inatufundisha kwamba SportPesa ni zaidi ya kuburudika, bali ni maendeleo na inaleta maana ya maisha.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KASSIM NASORO MGAYA: KIPATO CHANGU SASA 'SI HABA' SABABU YA BAJAJI YA SPORTPESA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top