• HABARI MPYA

  Tuesday, September 18, 2018

  NEYMAR AKITAZAMA MANDHARI ANFIELD KUELEKEA MECHI NA LIVERPOOL LEO USIKU

  Mshambuliaji Mbrazil wa Paris Saint-Germain, Neymar akitazama mandhari Uwanja wa Anfield baada ya kuwasili kwa mazoezi jana kuelekea mechi ya Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji, Liverpool leo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NEYMAR AKITAZAMA MANDHARI ANFIELD KUELEKEA MECHI NA LIVERPOOL LEO USIKU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top