TIMU ya Uswisi imefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Fainali za Kombe la Dunia baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Algeria Asubuhi ya leo Uwanja wa BC Place Jijini Vancouver nchini Canada.
Mabao ya Uswisi yamefungwa na mshambuliaji wa Rennes ya Ufaransa, Breel Donald Embolo mwenye asili ya Cameroon dakika ya 10 na winga wa Nottingham Forest, Dan Assane Ndoye mwenye asili ya Senegal dakika ya 46.


.png)
0 comments:
Post a Comment